![]() |
Malala na mmoja wa wazazi wa wasichana waliotekwa nyara Nigeria
|
Mwanaharakati mwenye umri mdogo raia wa pakistan
Malala Yousafzai anatarajiwa kukutana na rais wa Nigeria Goodlack
Jonathan mjini Abuja hiii leo kushinikiza kuchukuliwa hatua zaidi ili
kuwakoa wasichana wa shule waliotekwa na kundi la wanmgambo wa Boko
Haram mwezi April.
Boko Haram wametoa kanda ya video ya kusuta kampeni za kutaka kuachiliwa wasiha hao mabpo kundi limetaka kuachiliwa kwa wapiganaji wake.
Malala alipigwa risasi kichani na kundi la Taliban nchini Afghanistan alipokuwa akipigania elimu kwa wasichana
No comments:
Post a Comment